Kampuni ya usimamizi wa kazi za wasanii wanaokuja kwa kasi ya Swahili
Nation,inatarajia kufanya mazoezi ya muvi yao ya kwanza itakayoandaliwa
na kampuni hiyo chini ya mtu mzima Mchox,akiongea na mwandishi
wetu,Mchox amedai wasanii wamejipanga kufanya mapinduzi kwenye soko la
fiamu kwani,Swahili Nation itadondosha bonge la muvi litakaloweka
historia ndani na nje ya bongo.
Mchox ameongeza pia,mazoezi yatafanyika katika shule ya sekondari Kisukuru Regent iliyopo tabata segerea,barabara ya mangala.
Hata hivyo Mchox hakuweka wazi jina la muvi hiyo akihofia wenye tabia ya kuiba idea za watu wangefanya hivyo.
0 comments:
Chapisha Maoni