Text Widget

Recent Posts

Machi 18, 2014

TAZAMA MASTAA WA BONGO WAIGAVYO:AGNESS MASOGANGE AMJIBU VICTORIA MARTIN,. NAYE AJICHORA TATTOO ZA HINA MAPAJANI.



 VICTORIA MARTIN
 VICTORIA MARTIN

Siku kadhaa zimepita tangu mrembo na msanii wa kenya VICTORIA MARTIN kuonesha picha akichorwa hinna kupitia akaunti yake ya mtandao wa instagram na kupewa misifa kedekede na midume huku mashosti mbalimbali wakiponda kwa hiko alichikifanya
 VICTORIA MARTIN
 AGNESS MASOGANGE
naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD "masogange" naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora za picha nyingine akichorwa kupitia mtandao  huohuo wa instagram huku akijiita "bibi harusi mtarajiwa"
 AGNESS MASOGANGE
 AGNESS MASOGANGE
AGNESS MASOGANGE

0 comments:

Chapisha Maoni