Muonekano wa vijana wengi siku hizi ni wa kuvutia hususani vijana
wanaoamua kumix style za kileo na zile za kizamani,katika kuliona hilo
vijana wengi wa siku hizi wanaamua kutupia style ya pamba inayovutia
kimuonekano na hata nyingine kufanya ucheke pale umuonapo kijana
ametupia!
Maeneo mengi ya burudani na hata shughuli mbalimbali za kijamii
zinazowahusisha vijana wengi,utakutana na mavazi ya aina mbalimbali,moja
ya mavazi yanayovuta vijana wengi siku ni uvaaji ule wa mashati na
kushikiliwa na mikanda(suspender) ikumbukwe hii style ilishika kasi
miaka ya 80 sasa imeonekana kurudi kwa kasi na kuwavutia vijana wengi.
0 comments:
Chapisha Maoni