jamani hii style umarufu jamani ilimradi tu awe ktk headlines |
mti wa xmass huo haaaa mazitoo |
Lady Gaga, Lady Gaga hakuna lisilowezekana kwake kila kitu kwake ni muruwaa kabisa haya ikiwa xmass inakuja shurt katujia na hiyo style, haaaa xmass tree kwa kichwa hayeya, anapenda kujitoa fahamu huyu ilimradi tu vyombo vya habari vimuandike
0 comments:
Chapisha Maoni