Text Widget

Recent Posts

Novemba 20, 2013

UNITY ENTERTAINMET HAIMSIMAMII TENA FEZA KESY "AY"

 Ay amesema kampuni yake ya unity entertainmennt haimsimamii tena aliyekuwa mshiriki wa big brother kutoka tanzania Feza Kesy
Ay amekiambia kipindi  cha mambo mseto cha citizen radio jana kwmba hajawahi kukutana na feza tangu atoke Big brother
"Tangu ameenda na kurudi south africa hatujawahi kukutana face to face"
"Tulikuwa na vitu kidogo ambavyo viko nje ya kikwaida kama unafanya kazi na artist vinatakiwa vifanyike.kwa hiyo tukaona labda anatafuta opportunity fulani ya kukamilisha jambo fulani.katika policy zetu za kampuni ni kuwa hatufanyi kazi kwa njia hiyo kwa hiyo tuliamua kumuweka pembeni.

0 comments:

Chapisha Maoni