Novemba 12, 2013
SINTAH ATOA UJUMBE MZITO. KWA WANAWAKE WOTE VING'ANG'ANIZI WA MAPENZI
Posted on Jumanne, Novemba 12, 2013 by Unknown
"This goes out to my ladies ambao ni glues heee kama superglue yaani wanajifanya wenyewe tutabanana hapa hapa, jamani kama mwanamme hakupendi muache maana kuna other potentials out there unakazana na asie wako ili iweje??.Jamani penny hausiki katika hili maana anaishi na DIAMOND naombeni kwa heshima mumuache apumzike tuendelee na yetu.sintah
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni