Johari ameondoka nchini kuelekea nchini Canada kwa Mzungu wake.
Apewa ushauri na kuambiwa atulie, Bahati haiji mara mbili na pia wazungu hawapendi uswahili
Mwanadada Irene Uwoya amefunguka na kuandika ya moyoni kuhusu Johari ambaye amemwita "rafiki yake kipenzi'. Kupitia Instgram yake Irene aka #ireneuwoyaonepieceintown ameandika maneno yafuatayo " Yan wewe ni rafiki yangu kipenzi...bahati haiji mara mbili...sasa ukifika Canada usinisahau...maisha ndo hayo...wazungu hawataki uswahili tuliaaa." na kuambatanisha na picha ya rafiki yake kipenzi Johari kama inavyo onekana hapo chini.
Hi ndo habari ya mujini na tunamtakia Johari aka #mukeyamzungutobe kila la kheri.
0 comments:
Chapisha Maoni