Baada ya
kupokea kipigo kutoka kwa Manchester City, na Aston Villa – klabu ya
Liverpool leo imejitupa uwanjani kucheza dhidi ya West Ham United katika
dimba la Upton Park.Liverpool ambao wamefanikiwa kushinda mechi moja tu
dhidi ya Tottenham Hotspur leo wamepokea kipigo kingine kutoka vijana
wa Sam Allardyce.
Magoli ya
Winstoin Reid dakika ya 2, Diafro Sakho dakika 7 baadae, kabla ya
Morgan Amalfitano kushindilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la
Liverpool.
Raheem Sterling alifunga goli la Liverpool la kufutia machozi..
Timu zilipangwa kama ifuatavyo:
West Ham:
Adrian 6.5, Demel 6.5 (Jenkinson 61, 6), Tomkins 7, Reid 7.5, Cresswell
7, Noble 7.5, Kouyate 8, Song 7.5 (Amalfitano 69, 6.5), Sakho 7, Downing
7, Valencia 7 (Collins 76).
Subs Not Used: Zarate, Vaz Te, Jaaskelainen, Cole.
Booked: Reid, Adrian, Kouyate, Jenkinson.
Goals: Reid 2, Sakho 7, Amalfitano 88.
Liverpool: Mignolet 5, Manquillo 4 (Sakho 22, 5), Skrtel 5, Lovren 5,
Moreno 5.5, Gerrard 5, Lucas 5 (Lallana 46, 7), Henderson 6, Sterling
7, Borini 5.5 (Lambert 75, 5), Balotelli 6.
Subs Not Used: Brad Jones, Jose Enrique, Toure, Markovic.
Booked: Balotelli.
Goals: Sterling 26.
Att: 34, 977
0 comments:
Chapisha Maoni