Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’
SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa.Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana na mchumba wake huyo.
“Wanaume wengine sijui wapoje, wanapeleka maneno ya kimbeya kwa mchumba wangu sijui wanataka nini? Kwa taarifa yao siachiki ng’o,” alisema Masogange.
0 comments:
Chapisha Maoni