Text Widget

Recent Posts

Agosti 12, 2014

Balozi Mpya wa Ujerumani aonana na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Shein.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kujitambulisha.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kujitambulisha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kujitambulisha.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu- Zanzibar
chanzo:haki ngowi

0 comments:

Chapisha Maoni