Text Widget

Recent Posts

Agosti 25, 2014

Abou Hermis Twaleb :Muonekano wake mpya ni balaa

Muigizaji, producer na director wa filamu Abou Hermis Twaleb ambaye ni mtanzania akiwa na makazi yake Denmark ametoa picha zake mpya akiwa amewaka vilivyo. Filamu yake mpya ya African Boy inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa filamu za kitanzania akiwa na wasanii wenzake wengine. Jionee.........

We are in love with his styling............
..

0 comments:

Chapisha Maoni