Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E Terrence J yupo nchini
Tanzania ,ambapo pamoja na mambo mengine,alihost uzinduzi wa filamu ya
THINK LIKE A MEN TWO,na yeye akiwa mmoja ya nyota walioigiza humo,me na
team yangu tulipata mwaliko,na hizi ni baadhi ya picha tukiingia na
mahojiano ya kwenye red carpet
TERRENCE AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA MOVIE KUANZA
Baada ya kutoka ,Nikisalimiana na baadhi ya mashabiki wangu
Picha zote via: Wasafii.blogspot.co.uk
0 comments:
Chapisha Maoni