Estelinah Sanga maarufa kama Linah amefanya video yake ya kwanza na
director wa South Africa Godfather. Director huyu ndiye aliyetengeneza
video ya Mdogomdogo ya Diamond,Kerewa ya Sheta na video nyingine za P
Square na Davido.
Wimbo unaitwa Ole Themba. Enjoy kuangalia hiki kipande ukisubili video kamili
0 comments:
Chapisha Maoni