NIMEKUTANA NA HII STORY BBCSWAHILI NIMEGUSWA NAYO KUONA
VINASA VYA AFRIKA VINATESA UFARANSA KIKUBWA NI MATERIAL YA COTTON
YANAYOTUMIKA, KUMBE INAWEZEKANA JAMANI MALIGHAFI TUNAZO, SOMA HII STORY
NAWE UPATE IDEA UTOKE VIPI , KAMA AMBAVYO VITENGE VIMEWATOA
WAJASIRIAMALI, HAYA KUNA CHUPI PIA
THANKS ::BBCSWAHILIchupi zenyewe hizo hapo
Theresa mmiliki wa kampuni iyo ishonayo vinasa
Mmiliki duka hilo, Therese Tiema, ameajiri wafanyakazi watatu zaidi katika miaka miwili iliyopita – na kuiweka idadi ya mafundi cherehani aliyowaajiri kuwa tisa kati ya vyerehani 15, wanaoshona chupi zilizoagizwa na kampuni hiyo ya Ufaransa.
“bado tunashona nguo binafsi lakini tunajaribu kuondoka kwenye soko hilo na kuishia kupokea maagizo makubwa”.
Atelier Augusti ni kampuni inayomilikiwa
na dada wawili Julie na Claudie Ramirez walioizuru Burkina Faso kwa mara
ya kwanza miaka misita iliyopita baada ya mama yao kuolewa na raia wa
huko.
“kwetu haikuwa uamuzi kati ya kutengeneza
nguo hizi katika eneo la mashriki au Afrika,” anasma Claudie Ramirez
mwenye umri wa miaka 27.
“daima ilikuwa ni Afrika, licha ya kwamba ingekuwa rahisi kuzitengeneza katika eneo hilo la mashriki,” anasema.
Ndugu hao wanataka chupi hizo
zitengenezwe kwa kutumia pamba asilia ambaoyo huinunua kutoka kiwanda
kikubwa cha nguo cha Comatexkatika nchi jirani ya Mali.
“Hatahivyo ni lazima tutume mipira na
wino wa chaa ya kampuni kutoka Ufaransa. Kiwango tunachokihitaji
hakipatikaniBurkina Faso.”
Chupi hizo zinauzwa kwenye mtandao na pia katika maduka manne nchini Ufaransa likiwemo moja katika mji mkuu, Paris.
Claudie anasema kuuza chupi hizo Burkina
Faso inakuwa vigumu kwa sababu bei yake ambayo ni dola 25, ipo juu zaidi
ya bei ya chupi zengine zinazonunuliwa nchini humo.
Mmiliki wa duka la Copromof wanakoshona
mafundi, Tiema anakubaliana na hilo: “sokoni unaweza kununua kwa bei
rahisi chupi za kutoka China, lakini zina madhara kwenye ngozi.”
“Nina hakika kungekuwa na soko kwa chupi zilizotengenezwa vizuri
0 comments:
Chapisha Maoni