Mei 27, 2014
HATARI LUCCI ATISHIWA KUPEWA RADHI NA WAZAZI WAKE
Posted on Jumanne, Mei 27, 2014 by Unknown
Ni stori zinazopitia kwa Soud Brown ambazo mara nyingi huwa ni zile zinazokuwa kama chini ya kapeti hivi,sasa hii ni producer kutoka Bongo anaitwa Lucci ambaye stori zaidi ni kuhusu mahusiano yake na hii ni baada ya kutoka stori kuwa wazazi wanataka kumpa radhi endapo atamuoa mpenzi anayefikiria kumuoa kwa sasa.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.
Bonyeza play kusikiliza.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni