Jana ilikuwa ni siku ambayo ambayo Swahili Nation Team Awali walikuwa
wakiitwa ALMEIDA ENTERTAINMENT walikuwa wakifanya usahili wa mamodel na
photoshoot kama matangazo yalivyoonesha hapo awali kwenye mitandao
mbalimbali na watu wengi walijitokeza na upigaji wa picha uliendelea na
kufanyika vizuri na wote waliokuwepo kwenye shughuli hiyo iliyofanyika
COCO BEACH walifurahia na kupongeza zoezi hilo
tazama zaidi picha za mamodel waigizaji na wasanii
Jina;Rehema KajangaNafasi:Model
Jina:Lilian Kessy
Nafasi:Model
Jina:Mary Haule
Nafasi:Model,Mwigizaji
Johnson na Lily katika pozi
Lily na Johnson katika poz |
Hapo sasa Harryson,Mary na Lilian katika pozi
Rehema akiwa mwnye furaha na pozi kali wakiwa na Sameer
Jina:Sameer Don Sago
Nafasi:Mwigizaji
Jina:Johnson Paul,Nafasi;Muigizaji,Model,Mc na Pia Msanii |
0 comments:
Chapisha Maoni