Text Widget

Recent Posts

Desemba 18, 2013

SOMA HAPA "URAHISI WA WANAWAKE WA SASA UNAVVOFANYA WANAUME WAENDELEE KUWA VIWEMBE"

It was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home.


Yeye alinishauri nibadilishe njia ila mimi, Well nka decide ku waste time kwa office kwanza ques ziishe. Ilipofika mida ya kama 1800 hivi nkamuona dada mmoja wa makamo kiasi akiondoka peke yake. Jengo letu lilivyo ni kuwa kama unatumia mlango wa nyuma kutoka lazma upitie department yetu.

As usual, boys will always be boys nkaanzisha story na kumsihi kuwa mida hii mafoleni makubwa avute hata 15 mins hivi ndo aende. Pamoja na kuwa alikataa kusubiri kwa kisingizio kuwa kesha chelewa sana lakini alisimama kunisikiliza. Here I was alone na bidada kwenye mazungumzo ambayo hata hayakuwa na aim yeyote ya maana. Kiufupi huyu dada mi huwa namuona tu na najua anafanya kazi pale ofisini ila sijawahi hata kuongea nae. 

Waswahili wanasema Mbuzi akifia kwa muuza supu kinachofuata kinajulikana. Basi na mimi when I ran out of things to say kwa huyu mrembo nkamuingia. Ingawa nia yangu haikuwa kumtongoza na nili expect akatae kabisa na aondoke ila aliendelea kunisikiliza huku akijichekesha. Sio kwamba ninampenda au nimevutiwa naye ila niliishiwa tu story na maneno ya kusema kwa wakati ule. Nlivyomuuliza kuwa ombi langu analipokeaje jibu lilinishangaza zaidi. Baada ya kuona hana dalili ya kukataa nkamfungukia kuwa nina mchumba wangu nategemea kumuoa hivyo this relationship ni Non-official. Hili pia halikumfanya akatae and she was up for it huku akijitamba kuwa yeye ni bingwa wa kutunza siri and no one will know. 

I was Flabbergasted, sijui ni ushamba au ndo maharage ya mbeya ila how can you possibly say yes? The conversation lasted for abt 40 mins. Tukabadilishana contacts with a promise kuwa tutawasiliana. To be honest ningeendelea na hata kumuomba tukapate vinywaji na baadae guest angekubali kabsaaaaa 100%. Unajua nimeamini kuwa hakuna mwanaume M.alaya ila tatizo wanawake wanatuwekea K mezani kirahisi mno. Wengine hatupendi ku cheat ila kama wanawake hawabadiliki sidhani kama tutafanikiwa. As for the time being, I'm keeping her number just incase. Who knows she may be a very good friend after all.

0 comments:

Chapisha Maoni