Na Sakina Shabani Ile filamu iliyozungmziwa sana ya msanii Manaiki Sanga "The Don" hatimae imeruhusiwa kusambazwa na mtaani huku maelfu ya wananchi wakitarajia kuitizamana. Habari za uhakika zilizonaswa na mtandao huu wa
Xdeejayz imesema kuwa filamu hiyo iitwayo NGEMA imeruhusiwa na baraza la sanaa la Taifa BASATA na JANA tarehe" 23/12/2013 itakuwa mtaani.
0 comments:
Chapisha Maoni