Text Widget

Recent Posts

Novemba 22, 2013

TAZAMA PICHA ZAIDI ZA MAPOKEZI YA PSQURE LIVE IN DAR AIRPORT AMBAO WANAFANYA SHOW LEADERS CLUB LEO

Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East Africa Radio na EATV.
 
 Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao.
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea.
Vijana wakielekea kupumzika tayari kwa kazi ya kesho

0 comments:

Chapisha Maoni