Text Widget

Recent Posts

Novemba 19, 2013

NIPO RADHI KUBADILI DINI KISA HUYU KAKA"DIVA WA CLOUDS"

Mwanadada mtangazaji Diva aka the Bawse, yupo tayari kubadili dini ili aweze kuolewa na mwanaume aitwaye Omar Borkan, na wala mtangazaji huyo 
hatojali hata akiwa mke wa ngapi, ilimradi aolewe na mwanaume huyo. Kupitia mtandao wa instagram mtangazaji huyo alipost picha ya mwanaume huyo na kuandika manano haya ” Hata dini ntabadili wallah… Anioe tu huyu kaka … Hata mke wa ngapi poa @omarborkan isn’t he just a cute man on earth guys?

Ila kumbuka hata kipindi yupo na Prezzo alisema nini huyu dada,hivyo upande wangu simshangai.

Source:http://www.udakuspecially.com/2013/11/nipo.html

0 comments:

Chapisha Maoni