Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
Novemba 19, 2013
DIAMOND NI MSANII PEKEE WA TANZANIA KUSHUHUDIA HARUSI YA PETER WA P-SQUARE NCHINI NIGERIA"TAZAMA PICHA"
Posted on Jumanne, Novemba 19, 2013 by Unknown
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni