Text Widget

Recent Posts

Novemba 29, 2013

HII BALAAA!!, MASOGANGE AELEZEA KUHUSU KUJICHIMBIA KWAKE"TAMA HAPA"

VIDEO Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ambaye alipata soo la kukamatwa na malighafi haramu aina ya Ephedrine Julai 5, mwaka huu nchini Afrika Kusini amejaa tele jijini Dar es Salaam, Ijumaa limethibitisha.
Jumatano, Masogange alitumbukiza picha kwenye mtandao wake akiwa ndani ya duka hilo na modo maarufu nchini, Jacqueline Patrick.(Picha hiyo hapo juu)
Agness Masogange akiwa dukani

0 comments:

Chapisha Maoni