Text Widget

Recent Posts

Septemba 26, 2014

Tazama balaa alilolifanya Adam Juma,karudi kwenye nafasi yake kwa heshima kubwa

 

Director Adam Juma "AJ" anazidi kulinda heshima yake kwenye utayarishaji wa video Bongo, Adam ambae ameshatengeneza video za nyimbo nyingi sana za Mastar wa Bongo na kazi yake kuonekana nzuri sasa amekuja na balaa yani ni balaa hatari!!

Baada ya wasanii wengi kulalamika kuwa Director wa Bongo hawana vifaa na ideal zao ni zile zile, kauli hizo ziliwakera waandaaji wengi sana wa Muziki Tanzania, na kuleta hoja nyengine kutoka kwa waandaaji hao kudai wasanii wenyewe hawawalipi vizuri, hivyo suitegemee kitu kizuri kwa gharama ndoto "kizuri kina gharama"

Kupitia Video ya Rich Mavoko AJ ameonesha uwezo zaidi ya video ambazo tayari ameshazifanya mwanzo, na hii ni kama jibu kwa wale ambao waliamini Bongo hamna ubora wa video kama za South Africa, Nigeria n.k.

Tazama video hii kisha utapata jibu kama hata Directors wa Tanzania wakiamua wanaweza. Kikubwa na malipo mazuri tu.

0 comments:

Chapisha Maoni