Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein aalishiriki katika kumswalia Marehemu Ali Khamis Abdalla Spika
mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika Masjid Makhfoudh
Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Makamanda wa jeshi la Polisi Zanzibar wakilibeba jeneza la Marehemu Ali Khamis Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana,maziko yake yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) Makamo wa Pili wa rais Balozi Seif Ali Iddi,wa pili kushoto) pamoja na Viongozi mablimbali na wananchi wakiwa katika Marehemu Ali Khamis Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
0 comments:
Chapisha Maoni