Baada ya Man
United kupokea kipigo kutoka kwa Leicester City, miamba mingine ya ligi
kuu ya Uingereza Chelsea ilijitupa uwanjani kucheza na Manchester
City.Mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Etihad umeisha kwa matokeo ya
sare 1-1.Dakika chache baada ya Pablo Zabaleta kutolewa kwa kadi
nyekundu Chelsea walipata goli la kwanza kupitia mchezaji aliyetokea
benchi Andry Schurrle.
Akitokea benchi mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard aliunganisha krosi ya James Milner na kuisawazishia Man City.
Mpaka mpira unamalizika Man City 1-1 Chelsea.
0 comments:
Chapisha Maoni