Text Widget

Recent Posts

Septemba 23, 2014

CHENGE AKABIDHI RASIMU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI BUNGE MAALUM

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hiloleo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni kesho.

0 comments:

Chapisha Maoni