Kipa Pepe Reina aliyetua Bayern Munich amewaandikia barua mashabiki wa Liverpool kuwaambia kuhusiana na kuondoka kwake, pia amewashukuru kwa kipindi walichofanya kazi pamoja.
Amewaeleza kote walikopita na sasa anaamini ulikuwa umefikia wakati wa kuondoka. Pia kawaeleza mengi na zaidi ni shukurani nyingi na namna maisha yake yalivyokuwa kwenye mji wa Liverpool akiwa pamoja na klabu hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni