Hapa ni siku ya birthday ya mlimbwende Nancy akiwa na walimbwende wenzake Faraja Nyalandu na K-Lynn
Maisha bongo ni tambalale warembo wanye maisha ya mboga 7 wakipata upepo safi na jua la afya wakiwa kwenye boat.
Fausta, Faraja na K Lynn wakijiachia.
|
Fausta, Faraja, Sophie, Nancy, K Lynn & Nasreen
K Lynn na Fausta katika pose
|
Gorgeous K Lynn and Nasreen wote ni Ma Miss Tanzania waliopita
0 comments:
Chapisha Maoni