Text Widget

Recent Posts

Julai 07, 2014

NOAH YATUMBUKIA MTONI BAADA YA KUSHINDWA KUPITA DARAJANI TABATA SEGEREA


 Gari aina ya Noah likiwa ndani ya mto baada ya kukosea njia na kutumbukia mtoni. Daraja hili liliharibiwa vibaya na Roli tarehe 19/06/2014.Daraja hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi
 Hii ndio hali halisi ya gari baada ya kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi uliopelekea kuama njia.
 Hii ndio speed inayoruhusiwa unapokaribia kwenye daraja hili
Pia katika daraja hili liloharibika  kuna kibao kinachoonesha kuwa barabara  imefungwa na pia kuna kamba  za njano na nyekundu zikionesha kuwa hakuna njia lakini cha kushangaza gari hilo aina ya Noah liliweza kukata kamba hizo na kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi.

0 comments:

Chapisha Maoni