Text Widget

Recent Posts

Desemba 10, 2013

TAZAMA, "PUFF DADDY NA CASSIE NDANI YA PENZI ZITO MOTO MOTO"

Katika mahusiano yaliyodumu kwenye maisha ya Pdd, wanasema yalikuwa ya Jennifer Lopez na Huyu wa sasa Msanii Cassie.



Picha Hizi ni za party moja waliokuwa pamoja Pdd Na Cassie na zinaonyesha jinsi walivyo karibu mastaa hawa.

Cassie amekuwa na Puff Daddy kwa muda mrefu sana, fahamu kuwa Cassie alikuwa model kwenye kampuni ya Ryan Leslie.


0 comments:

Chapisha Maoni