Cha ajabu zaidi ni jamaa huyu aitwaye Andy Lewis ambaye tofauti na wenzake yeye aliamua kwenda mbali zaidi.
Wakitembea juu ya kamba hizo ambazo zilipita juu toka kwenye ardhi iliyokuwa chini kwa urefu wa mita 30, hakika jamaa waliyaweka maisha yao kwenye hatari kama sio kifo huku wakiwa wako uchi wa mnyama.
Majasiri hao waliacha nguo zao pembeni na kuvaa kamba moja ambayo waliifunga kwenye mguu na kiuno, ila kwa ishu ya Andy Lewis yeye ilikuwa ni ya kipekee zaidi kwani yeye aliifunga kamba hiyo kwenye uume wake.
Angalia picha hapo chini...
0 comments:
Chapisha Maoni