Akizungumza na HISIA TZ,Haji alisema|" Ninakuja na truck mpya ya kufunga mwaka km ilivyo desturi yangu kila mwisho wa mwaka kuachia ngoma ni wimbo mzuri ulio jadiliwa na ma baadhi ya ma djs and producers ,naanza na audio then video, saport yenu ni ya muhimu sana coz bila nyie wadau hakuna Haji mliniteua kuwa Bongo star kwa kura zenu hivyo siko tayari kupoteza kura zenu mlo jinyima kwa kila aina ili mnipigie kura na huu ndo muendelezo wa kura zenu, nilianza na JOANITA nilo mshirikisha Q Chila na nikatoa SIJAMUONA nilio mshirikisha Chiby Dayo, kisha nakatoa FOREVER nilifanya mwenyewe na sasa nakuja na maringo pia nimeifanya mwenyewe, NAWAPENDA NYOTE "
Vilevile Haji ambaye anatamba na ngoma ya Forever aliongeza kuwa "Ngoma hii nimeifanya kwenye studio mpya iitwayo Ruby records ilioko mwananyamala chini ya produced jaraman na truck hii kaifanya produced anae kuja kwa chipkizi zao la mazuuu anaitwa Jili yaoyao na video pia ntafanya hapo hapo Ruby coz ni wazuri na pia wana ma director wazuri"
0 comments:
Chapisha Maoni