Novemba 12, 2013
LEO BIRTHDAY MHESHIMIWA RAISI MSTAAFU BENJAMINI MKAPA
Posted on Jumanne, Novemba 12, 2013 by Unknown
LEO Novemba 12, 2013 ni siku ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin William Mkapa aliyezaliwa Novemba 12, 1938 huko Ndanda, Masasi mkoani Mtwara na ametimiza umri wa miaka 75. Mkapa aliingia madarakani Oktoba 1995 mpaka Novemba 2005. Ndiye Rais wa kwanza kuchaguliwa chini ya Mfumo wa Vyama Vingi nchini ulioanzishwa mwaka 1992.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni