Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein mwenye tai nyekundu akimsikiliza
Mkurugenzi mkuu wa wa Mamlaka ya kusimamiaUvuviwa Bahari kuu Tanzania
Zahor Kassim Mohammed akielezea maswali mbalimbali kuhusiana na
Usimamizi wa Uvuvi baharini katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani
huko Bwawani Mjini Zanzibar.Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka
kwa Mkuu wa Bandari Kapten Ally Machano kuhusiana na uwakaji wa maboya
yanayotumia Umeme wa Jua katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani
huko Bwawani Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kulia akipata maelezo kutoka kwa
Mkuu wa Bandari Kapten Ally Machano kuhusiana na uwakaji wa Maboya ya
Zamani katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini
Zanzibar.Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka
kwa Kamanda Mkuu wa Boti KMKM Luten Hassan Ali Makame kuhusiana na namna
wanavyokabiliana na matukio mbalimbali ya baharini katika Maadhimisho
ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.MWENYEKITI WA KAMISHENI YA UTALII AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR.
Mwenyekiti
wa Kamisheni ya Utalii Dk Ahmada Hamid Khatibu akizungumza na Waandishi
wa Habari ofisini kwake Amani kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya
Utalii Duniani ambayo yatafanyika katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa
Kaskazini Unguja .Baadhi
ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano Ulioandaliwa na
Kamisheni ya Utalii kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani
ambayo yatafanyika katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja .
Mwandishi
wa Habari wea Shirika la Habari la Zanzibar Is-haka Omar akiuliza
maswali katika Mkutano ulioandaliwa na Kamisheni ya Utalii kuhusiana na
Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani ambayo yatafanyika katika Kijiji
cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
0 comments:
Chapisha Maoni