Vitu ambavyo watu wanavifanya chumani ni siri yako na mwezi wako
lakini mara nyingi unapokua maarufu basi vitu hivi sio siri tena.
Hivi sasa kim ameshaolewa na bwana Kanye lakini mikasa aliyoipata katika
maisha yake ya mapenzi ndio imetufanyavibe Tanzania kuangalia kwa jicho
la pili mahusiano aliyopitia bibie Kim Kardashian.
Akiwa tayari
ana miaka 31 , Kim amepitiwa na wanaume wengi huku wengine wakiwa ni
mpango wa kando wakati tayari ana mtu mwingine.
Hii ni list ya wanaume (wanaojulikana na maarufu)ambao wameshawai kumpitia kim tokea mwaka 1994 :-
TJ Jackson (1994-1998).
Katika
interview yake na Oprah, Kim alisema alianza kutumia njia za uzazi
akiwa na miaka 14 ambapo alikua ataki kushika mimba akiwa na mdogo.
TJ
Jackson kama ulikua hujui, huyu ni mpwa “nephew” wa Michael
Jacksonambapo inasemekana ndio alikua sio tu wa kwanza kutoka naye bali
wa kwanza pia kufanya naye mapenzi.
Damon Thomas (2000-2004).
Unafikiri
kim hakuwahi kuolewa kabla? basi kama ndio , habari ni kwamba kim akiwa
na umri wa miaka 20 aliolewa na producer , Damon Thomas , ndoa
iliyodumu kwa miaka minne tokea mwaka 2000 hadi mwaka 2004.
Ndoa yao ilivunjika kutokana na Kim kupigwa mingumi na mwanaume huyu . Pia Kim alikua akifuatiliwa kila dakika anapopumua.
Julian St. Jox (2001).
Huyu
Jamaa ambaye ni muigizaji wa muvi za kikubwa (pornstar) ambaye
alimmaliza kim wakati kim akiwa yupo kwenye ndoa katika party moja
waliokua nae.
Julian alisema kim alitokea katika hoteli ya
Wyndham na mwanaume mweusi ambae anahisi alikua mme wake kipindi hicho,
Damon ambapo alimfuata kim hukuakiwa na pornstar mwenzake wa kike Emily
Ann ambapo walianza kucheza na mizuka kupanda ambapo watatu hao
walitafuta chumba na mengine yakabaki kua story.
Ray J (2002 – 2003).
Hivi
kuna haja ya kuielezea hii kitu? Kwa wale wanaopenda picha za ngono ,
mtakua mmeshaona mkanda wa ngono kati ya Ray J na Kim Kardashian
uliovuja.
Kipindi mkanda huo unarekodiwa , Kim Kardashian alikua
bado yupo kwenye ndoa yake na Damon. Duh! jamaa alikua bwege
kweli…Kumbuka mkanda huu wa ngono ulivuja mwaka 2007 japokua ulirekodiwa
mwaka 2003.
Kama ulikua hujui mwaka 2007 ndio ulikua mwanzo wa
kipindi cha Keeping up with the kardashians na wataalamu wanasema
kipindi hiki kililenga kumsafisha kim bila kujua mafanikio ambayo
kingepata.
Nick Lachey (2006).
Mwanamuziki huyu kutoka bendi ya 98 Degrees alitoka na Kim Kardashian kwa wiki moja tu na mahusiano yake yakavunjika.
Nick alikua ametoka kuvunja ndoa yake na mwanamuziki Jessica Simpson na muda mchache akaanza kutoka na kim.
Nick
anadai Kim alimtumia kujipatia umaarafu baada ya kusema Kim aliwalipa
mapaparazi zaidi ya 30 kumpiga picha walipokua wanatoka movies.
Nick anasema picha zake kati yake na Kim ndio ulikua mwanzo wa mafanikio ya Kim.
Nick Cannon (September 2006- January 2007).
Hehehe,
unajua kwanini Nick Cannon alimtosa Kim Kardashian ? wapenzi hawa
walikua wakiishi vizuri hadi pale Kim alipoulizwa na Nick kuhusu kuwepo
kwa mkanda wa ngono kati yake na Ray J na Kim kumdanganya na kumwambia
hamna kitu kama hicho.
Nick alisema hataweza kumsamehe Kim kwa uwongo aliyomwambia.
Reggie Bush (2007)
Huyu
ni mchezaji wa mpira (NFL) wa marekani ambae alikua na mahusiano na kim
kwa zaidi ya miaka miwili hadi mwaka 2009 lakini mahusiano yao yalikua
yakutosana na kurudiana baadae.
Evan Ross (2007)
Huyu ni mtoto wa mwanamuziki wa zamani na maarufu kabisa nchini marekani, Diana Ross.
Wawili hawa walitoka pamoja kipindi kardashian alipuamua kupumzisha penzi la Reggie Bush.
Christiano Ronaldo (April 2010).
Hiki kipindi mrembo Kim alikua nchini Hispania kimapumziko ndipo alipokutana na Christiano Ronaldo.
Kipindi
hicho Christiano akiwa na miaka 25 huku Kim akiwa na 29 , wawili hao
walionekana kwa mara ya kwanza wakipeana mahaba ndani ya siku 3 ambazo
kim alikua nchini humo.
Shengo Deane (April 2010).
Katika
interview yake ya Piers Morgan kim alieleza jinsi alivyohuzunika kuhusu
sex tape yake ya mwaka 2007 lakini chaushangaza aliweza kuonyesha
mahaba yake na Shengo Deane katika kipindi cha keeping up with the
Kardshians.
Kumbuka mu-Australia huyu alikua ni bodyguard wa Kim Kardashian.
Miles Austin (June 2010).
Huyu
naye ni mchezaji wa American Football. Wawili haya walidumu kwa miezi
na hakuna sababu ya msingi ya kutengana kwao zaidi ya long distance.
Michael Copon (October 2010).
huyu
ni muigizaji aliyemjua Kim kwa zaidi ya miaka 11 na baadae wakafanya
yao japokua uhusiano wao haukudumu kabisa kwa alichokisema Michael
kwamba Kim anatabia za kitoto.
John Mayer (October 2010).
Hii
ilikua mwishoni mwa mwezi October ambapo kim aliamua isiwe tabu na
kumuachia mwanamuziki na producer , John Mayer ale mema ya nchi.
Gabriel Aubrey (November 2010).
Huyu
ni model kutoka nchini Canada na kipindi anatoka na Kardashian alikua
ana mtoto wa miaka miwili aliyezaa na msanii Halley Berry.
Kris Humphries (2010-2013).
Hii
ilikua ndoa ya pili kwa kim Kardashian. Hii ndoa kati ya Kris Humphries
na Kim Kardashian ni maarufu kwasababu iliweza kudumu kwa siku 72 tu!
Ndoa
ya mcheza kikapu huyu wa NBA na Kim ilifika mwisho baada ya Kim kuhisi
kwamba hamna jema litakalotokea baadae na Kris pia kuhisi Kim anachepuka
kwa rapper Kanye West.
Kanye West (2007 hadi leo).
Unashangaa nini sasa ? Kim Kardashian alikua akichepuka kwa Kanye kipindi ana mahusiano na Reggie Bush na Kris Humpries.
Kwasasa Kim na Kanye ni wanandoa na wanamtot mmoja, North West.
Duh,
hivi kwa hii list, wewe ungekubali kumuoa Kim kwa mara ya tatu kama
alivyofanya Kanye tena ukizingatia kuna wengine waliopita sema bila
uhakika kama 50cent, The Game, Brett Lockett, Scot Storch na wenine
wasio celebrities?
0 comments:
Chapisha Maoni