
Wasanii kadhaa kutoka kambi ya Bongo movies na Bongo flava Wameamua kukata shauri na kuchagua kujiunga na chama cha CCM , Wasanii hao ni JB ,
Banana Zorro, Rich Richie, Mboto , Irene Uwoya, Johari na Wastara...Wasanii hao wamepewa kadi za CCM na JK kwenye Sikukuu za kutumiza miaka 37 ya CCM Mjini
0 comments:
Chapisha Maoni