Kitendo cha Baba kubagua
baadhi ya watoto wa kuwapa huduma nzuri kuliko wengine ni mfano halisi ambao
ulifanya kundi la muziki la darstamina lililokuwa na maskani yake ilala DAR ES
SALAAM.
Vedasto ambaye kwa sasa ni msanii anayejitegemea na hayupo kundi lolote aliiambia HISIA TZ kuwa “kuna baadhi ya show na kazi za kundi ambazo zinatakiwa zifanywe na wote hufanywa na wasanii wachache katka kundi hilo”.
Vedasto
ambaye kwa sasa ameachia ngoma mpya iitwayo “kidogo” inayofanya vizuri katika
vituo mbalimbali vya redio na tv nchini amesema amejipanga vizuri kwani kimya
chake cha miaka miwili alikuwa akifanya mazoezi ya nguvu pia wiki mbili zijazo
anaachia ngoma yake mpya( hakuitaja kwa jina) ambayo iko jikoni kwa sasa.
Vilevile
alisema“kwa sasa nimebadili staili yangu ya uimbaji kwani zamani nilikuwa
nikiimba RNB ambayo watanzania wengi hawaulewi”
0 comments:
Chapisha Maoni