Text Widget

Recent Posts

Januari 27, 2014

TAZAMA MAAJABU HAYA:NYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AKUTWA AMEKUFA NDANI YA BONETI YA GARI NDOGO

Joka kubwa aina ya chatu la kutwa limekufa ndani ya bonneti ya gari ndogo, joka hilo lilikufa ndani ya boneti kwasababu ya kuungua kutokana na joto kali la engine.,,kuweni makini mnapo fungua bonet za magari unaweza kuta hajafa akakugonga...

0 comments:

Chapisha Maoni