Mbaya zaidi mrembo huyo anayejukana kwa jina la Dasha Zhukova, alipost picha hiyo siku ya kumbukumbu ya Martin Luther King, January 20, 2014.
Katika picha hiyo iliyowekwa kwenye jarida maalum la mitindo la online ‘Buro 24/7’, Dasha ambaye pia ni moja kati ya wahariri wa Jarida la Garage, anaonekana akiwa amechill kwa raha zake wakati msichana huyo (mdoli/kinyago) akiwa amekaa miguu juu akiwa ameuweka mgogo wake chini.
Watu wengi walioiona picha hiyo walimshambulia vikali mrembo huyo kupitia twitter ukizingatia ni siku ya kumkumbuka mwanaharakati wa Marekani aliyepinga vikali ubaguzi wa rangi, Martin Luther King.
Picha hiyo iliwekwa pia kwenye Instagram na kutolewa baada ya muda mchache.
0 comments:
Chapisha Maoni