Marehemu Paul Walker (kushoto) akiwa na staa mwenzake Vin Diesel wakati wakiandaa filamu ya
Fast & Furious 6.
Staa wa filamu za Fast and Furious, Paul William Walker amefariki dunia Jumamosi mchana katika ajali ya gari jijini Los Angeles, Marekani. Alikuwa katika gari la rafiki yake Roger Rodas ambaye naye amepoteza maisha katika ajali hiyo. Amefariki akiwa na umri wa miaka 40
0 comments:
Chapisha Maoni