Gazeti
la Sani jana limeibuka na habari yenye kichwa cha habari, ‘Baada ya ndoa
yake kuvunjika: Bob Junior aibuka kwa Vanessa Mdee.
Habari
hiyo imeonesha kumkera msanii huyo aliyemshirikisa Vanessa kwenye wimbo
wake ‘Bashasha’ na kuamua kuandika kwenye Facebook, “hichi ndicho
walitaka kusema ,haya msha sema kingine kipi????’.
Awali
gazeti jingine la udaku liliandika habari kuwa Bob Junior huvaa nguo za
ndani za kike ambazo kabla ya hapo zilidaiwa kuwa za mwanamke wa nje na
kusababisha kuvunjika kwa ndoa yake.
0 comments:
Chapisha Maoni